Become a Readings Member to make your shopping experience even easier. Sign in or sign up for free!

Become a Readings Member. Sign in or sign up for free!

Hello Readings Member! Go to the member centre to view your orders, change your details, or view your lists, or sign out.

Hello Readings Member! Go to the member centre or sign out.

Endless Love: Upendo Usio Na Kikomo
Paperback

Endless Love: Upendo Usio Na Kikomo

$40.99
Sign in or become a Readings Member to add this title to your wishlist.

Inawezekana ukawa umesoma makumi ya vitabu, mamia au hata maelfu, lakini kama hujasoma kile kiitwacho Endles Love/Upendo Usio na kikomo bado una deni. Hiki ni kitabu cha pekee kinachompitisha msomaji katika maisha ya kawaida aliyowahi kupitia, anayopitia au hata yale atakayopitia mbeleni. Kinagusa maisha ya kimwili na yale ya kiroho ‘holistic’, lakini pia hakimuachi hewani, kila tatizo linapata ufumbuzi unamuwezesha mhusika kuendelea mbele. Kitabu hiki kilichoandikwa na Naomi Mwakanyamale Ng'imba, kina kurasa karibu 300, lakini zinaonekana chache sana unapokisoma kutokana na mtririko wa matukio yenye kugusa hisia za kila mwanadamu. Ni kama maisha halisi yaliyohamishiwa kwenye kurasa za kitabu. Miongoni mwa maajabu ya kitabu hiki ni jinsi kinavyotafsiri nguvu ya ajabu iliyopo katika ‘msamaha’. Lakini kikionesha jinsi upendo ulivyo na nguvu kushinda mauti. Mwisho wa kila tukio ni kuuelekeza moyo wa mwanadamu katika kumrejea muumba wake na kuishi maisha ya upendo, badala ya kujitesa kwa kuhesabu maovu ya nyuma. Mmoja wa wanasaikolojia aliyekisoma kitabu cha Endles Love alisema: Endles Love ni chuo cha maisha halisi ya mwanadamu, matukio yake kila mtu yanamgusa, alishayapitia au anayapitia, hakuna namna halisi ya kukichambua kwa uhalisia wake njia bora ni kila mtu kukisoma. Kinafunua siri kuwa maisha bila Mungu ni kama Pweza Jangawani, hata achanganye miguu kiasi gani ataishia kutimua vumbi, haendi popote.

Read More
In Shop
Out of stock
Shipping & Delivery

$9.00 standard shipping within Australia
FREE standard shipping within Australia for orders over $100.00
Express & International shipping calculated at checkout

MORE INFO
Format
Paperback
Publisher
Niim
Date
4 May 2016
Pages
280
ISBN
9789987761500