Become a Readings Member to make your shopping experience even easier. Sign in or sign up for free!

Become a Readings Member. Sign in or sign up for free!

Hello Readings Member! Go to the member centre to view your orders, change your details, or view your lists, or sign out.

Hello Readings Member! Go to the member centre or sign out.

Matukio ya Kusisimua ya Pili akiwa New York. Bilingual Books for Children. English - Swahili - Kiingereza
Paperback

$27.99
Sign in or become a Readings Member to add this title to your wishlist.

This title is printed to order. This book may have been self-published. If so, we cannot guarantee the quality of the content. In the main most books will have gone through the editing process however some may not. We therefore suggest that you be aware of this before ordering this book. If in doubt check either the author or publisher’s details as we are unable to accept any returns unless they are faulty. Please contact us if you have any questions.

Akiungana na Pili, msomaji anagundua matukio yenye kusisimua ya msichana mdogo ambaye anasafiri duniani na baba yake, Kike Calvo ambaye ni mpiga picha wa National Geographic Image Collection. Katika kitabu hiki chenye michoro mizuri, Pili, Mvumbuzi Mdogo, anafuatilia ndoto zake kutoka Jiji la New York hadi msitu wa mvua wa Kolombia. Ujumbe wa msingi wa mfululizo wa Matukio Yenye Kusisimua ya Pili ni utunzaji na udumishaji wa mazingira. Kitabu hiki kinashughulikia dhana ya utofauti wa kitamaduni na uwezeshaji, utayari wa kukabili ulimwengu na amani, ujasiriamali na mabadiliko ya hali ya hewa. Hand-in-hand with Pili, the reader discovers the adventures of a little girl who travels the world with her dad, National Geographic Image Collection photographer Kike Calvo. In this brilliantly illustrated book, Pili, the Little Explorer, follows her dreams all the way from New York City to the Colombian rainforest. The core message of The Adventures of Pili series is environmental conservation and sustainability. This book tackles the concepts of cultural diversity and empowerment, global readiness and peace, entrepreneurship, and climate change. —— Msichana mdogo anasafiri duniani. Baba yake ni mpiga picha. Kwa hiyo, ingawa ni mdogo-maisha yake ni makubwa, yakijumuisha kila kitu kutoka Jiji la New York hadi msitu wa mvua wa Kolombia. Kwa kuona na kusikiliza, kwa kufikiria na kwa kuhisi-labda kwa sababu amerithi kidogo uwezo wa pekee wa baba yake wa kuona mambo-Pili anajali vitu vya asili, watu wanaozungumza lugha nyingine, na amani. Pili anafikiria mahali pa amani ulimwenguni kwa ajili ya watoto. Mpango wake: itakuwa hifadhi ya msitu, na itakuwa Kolombia. Hili sio jambo rahisi kwa msichana mdogo kukamilisha. Lakini Pili amedhamiria; kwa njia fulani, atafanya hili liwezekane! Hata hivyo, ni kwamba, kitabu hiki hakiko mbali sana na uhalisia. Pili ni msichana halisi, na baba yake ndiye mwandishi wa kitabu hiki. Na msitu unaendelea.

Read More
In Shop
Out of stock
Shipping & Delivery

$9.00 standard shipping within Australia
FREE standard shipping within Australia for orders over $100.00
Express & International shipping calculated at checkout

MORE INFO
Format
Paperback
Publisher
Blurb
Date
30 April 2020
Pages
28
ISBN
9781714777525