Become a Readings Member to make your shopping experience even easier. Sign in or sign up for free!

Become a Readings Member. Sign in or sign up for free!

Hello Readings Member! Go to the member centre to view your orders, change your details, or view your lists, or sign out.

Hello Readings Member! Go to the member centre or sign out.

Paperback

Safari YA Kuwa Huru: Mwanzo wako wa Maisha yenye Tumaini, Afya, na Furaha

$33.99
Sign in or become a Readings Member to add this title to your wishlist.

This title is printed to order. This book may have been self-published. If so, we cannot guarantee the quality of the content. In the main most books will have gone through the editing process however some may not. We therefore suggest that you be aware of this before ordering this book. If in doubt check either the author or publisher’s details as we are unable to accept any returns unless they are faulty. Please contact us if you have any questions.

Kama ungebadili maisha yako, ni vipi yangekuwa tofauti ?Safari ya kuwa huru ni uzoefu binafsi ambao utaongozwa kupitia mchakato wa kujulikana na wewe mwenyewe, watu wengine na Mungu pia. Safari ya kuwa huru inatuonyesha: - Ya kwamba mabadiliko ya kudumu yanawezekana.- Vile unaweza kushinda vikwazo na uwe na nguvu ya kuendelea mpaka mwisho.- Jinsi ya kuandika azimio lako mwenyewe kuhusu mabadiliko ili uweke fikira zako kwenye safari yako. Ninapendekeza kitabu hiki kwa kikundi cha watu, kwani kinampa mtu binafsi nafasi kubwa ya kujifunza, kukua na kuwajibika kwa kila mhusika kwenye kikundi. Kitabu hiki kilinifanya nitambue kuwa ya kale yamepita na ninaishi katika maisha mapya yenye uhuru .–Cornel Onyango, Co-Founder and Country Director for Care for Aids, Inc.Kupitia kitabu cha Safari ya kuwa Huru katika kikao cha kikundi kidogo, kulivunja minyororo ambayo ilikuwa imeniweka katika utumwa kihisia, kiakili na kiroho. Kuwa na mawazo yaliyo na afya zaidi kumeniwezesha kwa hakika kuweza kupata upendo wa Mungu na uwepo wake kila siku.–Anna Edgeston Ed.D. LPC -MHSP Scott Reall alifuzu kutoka chuo kikuu cha Otterbein mwaka wa 1976 na Shahada ya Sanaa Katika Afya na Sayansi ya mazoezi akiwa na imani ya kwamba kuna mengi zaidi kuhusu kuwa mzima bali na kuwa na mwili wenye kimo cha kufaa. Yeye ni kiongozi katika mwendo wa duniani kote wa jamii za uponyaji za vikundi vidogo ili watu wote wakue na wabadilike pamoja katike mahali palipo na usalama na mahali watakubalika. Scott ameandika vitabu vinavyofuatana ambavyo vinahusu safari na ndiye Mwanzilishi wa huduma ya vikundi vidogo vya urejesho duniani, isiyo ya kuleta faida iliyoanzishwa Nashville TN. www.restoresmallgroups.org

Read More
In Shop
Out of stock
Shipping & Delivery

$9.00 standard shipping within Australia
FREE standard shipping within Australia for orders over $100.00
Express & International shipping calculated at checkout

MORE INFO
Format
Paperback
Publisher
Xulon Press
Date
21 February 2020
Pages
228
ISBN
9781545659632